Genesis 47:27

27 aBasi Waisraeli wakaishi Misri katika nchi ya Gosheni. Wakapata mali huko wakastawi na kuongezeka kwa wingi sana.

Copyright information for SwhNEN